Bodi za Maji za
Mabonde
Bonde ni nini?
Bonde la Ziwa Rukwa
Hili ni eneo lote ambalo mwelekeo wa maji yake hatimaye huingia katika Ziwa Rukwa. Eneo hili lina jumuisha mikoa ya Mbeya, Rukwa,Katavi na sehemu ndogo ya mkoa wa Tabora na Singida
Bonde la Ziwa Nyasa
Hili ni eneo lote ambalo mwelekeo wa maji yake hatimaye huingia katika Ziwa Nyasa.
Eneo hili linajumuisha mikoa ya Mbeya,
Njombe na Ruvuma.
Bonde la Mto Rufiji
Hili eneo lote ambalo mwelekeo wa
yake hatimaye huingia katika Mto Rufiji.
Eneo hili linajumuisha mikoa ya Iringa,Morogoro,Dodoma na sehemu ndogo ya mkoa wa Mbeya,Pwani,Ruvuma,Lindi na singida
Bodi hizi zinasimamia na kuratibu matumizi ya maji katika mabonde.
Bodi ya Bonde la Ziwa Rukwa
P.O. Box 762, MBEYA
+255 2500028
rukwabasin@yahoo.com
www.lakerukwabasin.co.tz
BodiyaBonde la Mto Rufiji / Bodi ya Bonde la Ziwa Nyasa
P.O. Box 1798, IRINGA / P.O. Box 240, TUKUYU
+255 (26) 2720951-4 / 0754 769622 / 0753398141
info@rufijibasin.com / nyasabasin@yahoo.com
www.rufijibasin.com / www.lakenyasabasin.com
HIZI NI OFISI ZA MAJI BONDE LA ZIWA RUKWA,OFISI YA MAJI BONDE LA ZIWA NYASA TUKUYU NA OFISI YA MAJI BONDE LA MTO RUFIJI IRINGA.
KUSAJILI VISIMA
Kibali kitakulinda upate kuwa na uhakika wa maji
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji ya Bonde
la Ziwa Rukwa
Bodi ya Maji ya Bonde la Ziwa Nyasa
Bodi ya Maji ya Bonde
la Mto Rufiji
Hii ni kazi nzuri sana kwa Maendeleo ya Jamii inayotuzunguka
ReplyDeleteKazi nzuri mnayoifanya mimi niulize kuhusu nafasi za kujitolea kwa Kuongeza maarifa kwa wanafunzi Wa hydrology tunaosubiria matokeo yeti kutoka chuo cha maji au nafasi za kazi
ReplyDelete